Baadhi ya madhara ya P.I.D Sugu.
· Ugumba na Utasa – Hali ya ugumu katika kushika mimba (infertility). ama kukosa kabisa uwezekano wa kushika mimba (sterility) hii hutokana na kujengeka kwa makovu katika kizazi yanayotokana na Michubuko ya Maambukizi.
· Kuziba kwa Mirija ya Uzazi. – P.I.D Ndo sababu namba moja ya kuziba kwa mirija ya uzazi kwa wanawake, hali inayopelekea mimba kitungwa nje ya kizazi (Ectopic pregnancy) na kupoteza uwezo wa kushika mimba (infertility).
· Mimba kutukwa Nje ya kizazi (Ectopic pregnancy). Hii ni hatari ambayo hupelekea mama kufanyiwa upasuaji wa kuondoa kiumbe tumboni- Mimba ikitunga nje ya kizazi haiwezi kukaa zaidi ya miezi 4 tumboni, Huwa mirija inapasuka na inaweza kupelekea mama kupoteza maisha, asipopata huduma ya dharura.
· Vimbe katika Mirija na kifuko cha mayai (Tubo ovarian cysts).Hizi ni vimbe maji ambazo huwa zinazuia mimba kujishikiza katika kizazi.
· Kujaa kwa makovu katika kizazi. Hali inayofanya uwezekano wa mimba kutokujishikiza kabisa katika eneo hilo. Hali hii ndiyo inayoleta ugumba.
· Maumivu sugu Endelevu. Maumivu makali ya nyonga na tumboni chini ya kitovu huendelea kuwepo kwa mwanamke aliyepata P.I.D Kwa muda mrefu. Na maumivu haya huwa yanatokana na makovu, yaliyosababishwa na michubuko ya maambukiizi.
Tshs 95,000 Tu
SHUHUDA Za MAMIA Ya WANAWAKE Kama Wewe Waliotumia STD CARE Na MATOKEO WALIYOPATA