Dawa za Kisukari Tanzania-Dawa inayoponyesha kabisa.

Yaliyomo kwa ufupi:
Dawa za kisukari tanzania ni pamoja na Diabetes care ni dawa ya uhakika sana inayotibu kuponyesha kabisa kisukari na ugonjwa huu kuisha kabisa ndani ya siku 90 (miezi 3). Dawa hii Imepimwa na mamlaka ya maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Hii Ni dawa bora sana ya asili iliyopitia hatua ya vipimo vya usalama katika maabra ya mkemia mkuu wa serikali. Dawa hii hutibu na kumaliza kabisa ugonjwa wa kisukari na changamoto zake ndani ya siku 90 (miezi mitatu). Dawa hii huenda moja kwa moja katika kutibu organ ya kongosho ili iwe na uwezo wa kuzalisha insulin kwa uzuri, na kuifanya homoni ya insulini ifanye kazi yake vizuri zaidi.
kisukari

Soma pia: A-Z Kuhusu Ugonjwa wa kisukari | Sababu, na Dalili zake
Bila shaka huwa unajiuliza kisukari ni ugonjwa gani? Au unajiuliza kisukari husababishwa na nini? Na unataka kujua ni zipi dalili za kisukari? nini chanzo cha ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu.
je kisukari kinatibika?
Na kama haitoshi utakuwa umejiuliza kuhusu tiba yake. je kisukari kinatibika? Ukweli ni kwamba ugonjwa wa kisukari unatibika vizuri kabisa (kisukari kinatiba kwa dawa asili-zingatia hilo)! Fuatana nami sasa ninapokwenda kukuelezea jinsi mambo yalivyo kwa undani kuhusu tattizo hili la kisukari.
Katika makala hii Dr. Renatus Lutambi, daktari wa tiba mbadala na lishe aliyebobea zaidi katika kutibu changamoto za matatizo ya nguvu za kiume na pia zaidi sana magonjwa sugu ikwemo ugonjwa wa kisukari, Muda huu atakufafanulia kwa undani juu ya ugonjwa wa kisukari na dawa sahihi ya tatizo la kisukari-ambayo ni ya asili kabisa.
Tiba mbadala ya ugonjwa wa kisukari Ni ipi?
Kama nilivyokwambia mwanzo Dawa ya Diabetic care hii ti tiba mbadala imefanyiwa vipimo katika maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kwa sasa ni miongoni mwa dawa nzuri katika tiba mbadala inayosaidia wengi kuondokana na tatizo hili kwa njia ya asilia.
Tatizo la ugonjwa wa kisukari

Soma pia: Ili kupona vidonda vya tumbo-Suluhisho bora ni hili Hapa.
Tatizo la Ugonjwa wa kisukari katika lugha ya mkoloni (in english ni diabetes melitus).
Ugonjwa huu kwa Kiingereza hujulikana kama Diabetes melitusHii nikutokana nakwamba ni tatizo ambapo uwezo wa mwili kuchakata glukosi katika damu, inapungua au kuharibiwa.
Hali inayopelekea sukari kuwa nyingi katika damu (hyperglycaemia) ambapo wengi hutumia msemo wa sukari ya kupanda.
Hali hii ya sukari kupanda inatokana na aidha kongosho kuzalisha kiwango kidogo cha homoni ya insulin, au kutozalisha kabisa au kuzalisha ya kutosha lakini mwili hauwezi kuitumia insulin hiyo (insulin resistance)
Udhibiti Mzuri wa kisukari.
Ikitokea Kama hauna udhibiti mzuri wa sukari, basi ugonjwa wa kisukari unaweza kukusababishia matatizo makubwa yanayotokana na mrundikano wa sukari kwenye damu (hyperglycaemia), hali ambayo inaweza kukuongezea hatari ya kupata matatizo zaidi, matatizo hayo ikiwa ni pamoja na kupata kiharusi na magonjwa ya moyo.
Zipo aina tofauti tofauti za ugonjwa huu, na pia katika kuudhibiti ugonjwa wa kisukari hutegemeana zaidi na aina ya uliyonayo ya ugonjwa huu. Sio kweli kuwa aina zote za ugonjwa huu zinatokana na tatizo la mtu kuwa na uzito mkubwa sana au kuishi maisha ya kutojishughulisha kwa kutofanya kazi (maisha ya ulegevu).
Kusema kweli, watu wengine hupata ugonjwa wa kisukari tangia wakiwa watoto (kisukari cha utotoni-Type one Diabetes). Hadi hapo ndiyo unapata maana ya kuwepo kwa aina tofauti za kisukari ambapo pia zitahitaji njia tofauti za matibabu.
Aina za kisukari

Soma pia: Fahamu kila kitu kuhusu Kiungulia | Mambo 5 Muhimu.
Mchanganuo wa Aina za kisukari
Kuna aina kuu tatu za kisukari ambazo ni:
- Aina ya kwanza ya kisukari (TYPE 1 DIABETES),
- Aina ya pili ya kisukari(TYPE 2 DIABETES), na
- ugonjwa wa kisukari cha mimba au kisukari cha wajawazito (gestational diabetes).
Aina ya kwanza ya kisukari (TYPE 1 DIABETES)
Aina ya kisukari cha kwanza au kisukari cha aina ya kwanza, hiki pia hufahamika kama tatizo la kisukari cha watoto au kisukari cha utotoni (juvenile diabetes). Katika Aina hii hutokea pale ambapo mwili unaposhindwa kabisa kazi ya kuzalisha homoni ya insulini hata kidogo katika kongosho. Hivyo basi Watu wenye ugonjwa huu wa kisukari cha aina ya kwanza huwa wanaishi kwa kutegemea insulini za sindano , ambapo kwao ni lazima watumie insulini bandia za sindano kila siku- kwa maisha yote ili waweze kuishi. Aina hii yakisukari ndo unasikia wakisema kisukari hakina dawa, ni aina hii.
Aina ya pili ya tatizo la kisukari (TYPE 2 DIABETES)
Hii ya pili ya ugonjwa wa kisukari huathiri zaidi jinsi mwili unavyotumia homoni ya insulini. Wakati ambapo mwili wa huyu mgonjwa huwa unatengeneza insulini, tofauti na iliyopo na aina ya kwanza, Huyu seli za mwili wake hazitumii kwa ufanisi ile insulini iliyopo kama inavyopaswa kutumika.
Ugonjwa wa kisukari cha wajawzito au kisukari cha mimba (Gestational Diabetes)
Aina hii ya kisukari huwa ina watokea wanawake wakati wa ujauzito. Ni pale ambapo mwili wa huyu mjamzito unaweza kushindwa kutumia insulini ipasavyo kutumika-kama ilivyo kwa tatizo la aina ya pili (type 2 diabetes).
Katika Ugonjwa huu wa kisukari cha mimba au cha ujauzito hautokei kwa wanawake wowote na kwa kawaida kisukari hiki huisha chenyewe baada ya mjamzito kujifungua. Wajawazito wachache tu ndio wanaweza kuendelea na tatizo hili, na kuwa Type 2 diabetes.
Mama aliyepatwa na aina hii huwa katika hatari zaidi ya kupata aina ya pili ya kisukari. Pia mtoto wa mama huyu, huwa katika hatari ya kupata kisukari katika maisha yake, kwa sababu za kurithi, vinasaba vyenye kisukari.
Pia kuna Aina za kisukari ambazo kwamba huwa hazitokei sana mara kwa mara katika jamii, aina hizo ni pamoja na ugonjwa na ule ugonjwa wa kisukari wa monogenic na pia ugonjwa wa kisukari unaohusianishwa na cystic fibrosis (Mwili kuzalisha protein zinazohamasisha kujishambulia na kutengeneza makovu katika organ zake).
madhara yatokanayo na ugonjwa wa kisukari

Soma pia: P.I.D Ni nini? | Dalili, Sababu na Matibabu.
Madhara ya ugonjwa wa kisukari ni pamoja na:
- Hatari ya kuwa na magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular complications) kama vile kupata shinikizo la damu la damu, kupata kiharusi, na magonjwa wa moyo mengine.
- Kupata Uharibifu kwenye figo (kidney damage) uharibifu ambao unaweza kusababisha matatizo ya figo kufeli na hata hatimaye kupelekea kuhitaji kufanyiwa dialysis kwa maisha yote-ambapo ni tukio gumu na la gharama sana-wengi wanaofanyiwa dialysis hatimaye hufariki dunia ndani ya miaka michache-wakiwa na magonjwa mengi ambay hapo kabla hawakuwa nayo .
- Kupata Uharibifu kwenye macho na upofu (retinopathy) Ugonjwa wa kisukari unaoweza kusababisha madhara makubwa ya magonjwa ya macho kama retinopathy na cataracts, ambayo mara kwa mara husabaisha upofu hatimaye.
- Kupata Uharibifu kwenye neva (nerve damage) Abapo unaweza kusababisha matatizo kama peripheral neuropathy (kufa ganzi mikono namiguu) hali ambayo husababisha maumivu na kujisikia vibaya kwenye mikono na miguu, hasa kwenye vidole na nyayo za miguu.
- Kupata Vidonda vya miguu (foot ulcers) mara nyingi hufahamika kama Diabetic ulcers ambapo vinaweza kusababisha maambukizi yasiyopona , mguu huanza kuoza na hatimaye huhitaji kufanyiwa amputation (kukatwa mguu au miguu).
- Kupata Matatizo mabaya ya ngozi (skin complications) matatizo kama vile maambukizi ya mara kwa mara (skin infections) na magonjwa mengine ya ngozi kama vile psoriasis.
- Kuwa na Hatari ya magonjwa makubwa zaidi. Kupata Ugonjwa wa aina ya 2 pia unaweza kuongeza hatari ya wewe kuwa na magonjwa mengine mengi kama vile saratani mbalimbali, kupata ugonjwa wa ini na pia magonjwa ya mfumo hewa (mfumo wa upumuaji).
Leave a Reply