tiba ya bawasiri 2

Fahamu kuhus Tiba ya bawasiri | Mambo 5 usiyoyajua

1.Mambo Muhimu kuhusu tiba ya bawasiri Ni haya!

Bawasiri ni tatizo linalowapata watu wengi duniani kote, lakini mara nyingi huwa ni aibu kuzungumzia, au watu hushindwa kutafuta tiba ya bawasiri, kwa sababu ya kuogopa aibu.
Bawasiri ni hali inayosababishwa na kuvimba au uvimbe katika mishipa wa damu karibu na eneo la haja kubwa, na inaweza kusababisha maumivu, kuvimba, na hata kutokwa na damu wakati wa kupata choo.

Kuna njia kadhaa za kutibu bawasiri, lakini katika hizo zote, Tiba bora hutegemeana na ukali wa hali ya mtu husika.
Kwa watu wowote walio na dalili za bawasiri, mabadiliko katika lishe ni muhimu sana kuzingatiwa. Hii ni tiba ya bawasiri rahisi unayoweza kuifanyia kazi nyumbani, ndani ya mlo wa wako wa kila siku. Mfano; Kujumuisha vyakula vyenye nyuzi nyingi kama matunda, mboga mboga, na nafaka nzima katika lishe yako inaweza kusaidia kuzuia kufunga choo na hivyo kupunguza maumivu, katika bawasiri.

Mbali na mabadiliko ya lishe, kuna tiba ya bawasiri yenye kupunguza maumivu na kupunguza kuvimba kwa mishipa ambazo inaweza kutumika kutibu bawasiri.
Dawa kama acetaminophen au ibuprofen zinaweza kusaidia kupunguza maumivu na uvimbe katika eneo la haja kubwa.

Kuna njia za asilia nyingi zenye mafanikio makubwa zaidi kuliko, njia nyingi zilizozoeleka. Mfano: Kuna mafuta dawa ambayo hutumika Kama njia ya asili ya kutibu bawasiri, Mifuko ya barafu pia zinaweza kutumiwa kusaidia kupunguza maumivu na uvimbe.
Ni muhimu pia kuepuka kukaa muda mrefu chooni ili kupunguza shinikizo katika eneo la haja kubwa.

2.Baadhi ya Tiba bora rahisi za bawasiri ni pamoja na:

1.Mabadiliko ya Lishe:
Kufanya mabadiliko katika lishe yako kwa kujumuisha vyakula vyenye nyuzi nyingi ni hatua muhimu katika kuzuia na kutibu bawasiri.
Nyuzi nyuzi (fibers) ni sehemu muhimu ya lishe ambayo inasaidia katika utumbo kufanya kazi kwa ufanisi na kuzuia tatizo la kukosa choo.
Matunda, mboga mboga, na nafaka nzima ni vyakula vyenye nyuzi nyingi ambavyo vinaweza kuongezwa katika lishe yako kwa urahisi.

Soma Pia: Ugonjwa wa Bawasiri | Mambo 5 Unayopaswa kuyafahamu.

Matunda na mboga mboga kama vile parachichi, papai, ndizi, karoti, broccoli, na spinach zina nyuzi nyingi ambazo husaidia katika kusaidia kujongea kwa chakula mwilini na kuhakikisha kuondolewa kwa uchafu mwilini kiufasaha. Hii ni namna nyingine ya tiba ya bawasiri rahisi zaidi ya bawasiri. kwa mtu ambaye tatizo lake lipo kwenye hatua za mwanzo, tiba hii rahisi tu utamfaa sana. Lakini kwa mtu ambaye hali yake ni mbaya, huyo anapaswa kutumia pamoja na tiba ya bawasiri, inayoaminika.


Nafaka nzima kama vile mtama, mchele wa kahawia (brown rice), na mkate wa ngano nzima pia ni chanzo kizuri cha nyuzi.
Kuhakikisha unakula vyakula vyenye nyuzi nyingi kutakusaidia kudumisha afya nzuri ya utumbo na kuzuia matatizo kama vile kufunga choo inayopelekea kupata bawasiri.

2.Kutumia tiba ya bawasiri mbadala iliyohakikishwa:
Kutumia dawa asilia zilizoandaliwa kwa ubora ambazo zinaweza kusaidia kutibu bawasiri ni njia nyingine nzuri ya matibabu.
Dawa hizo zinaweza kuwa zimetokana na mimea yenye Viambata makini sana vyenye kupambana na uvimbe na kutuliza maumivu, kama vile aloe vera, chamomile, au witch hazel.
Dawa hizo zinaweza kutumika kwa njia ya kuchovya na kupaka kwenye eneo lililo athirika au kutumia kama loshen kwenye eneo lililoharibika. Lakini zipo dawa zingine asilia ambazo hutumia kwa kunywa, ambazo hufanya utendaji wa ndani kwa ndani.

Soma Pia: ugonjwa wa p i d, Sababu na Tiba yake | Njia 6 za Kuzuia.

  1. Dawa za mafuta za kutibu Bawasiri:
    Kutumia dawa za mafuta ambazo hulainisha njia ya haja kubwa ni mojawapo ya njia ya kawaida ya kutibu bawasiri.
    Dawa hizi hutumika kwa kuziweka eneo lililoathiriwa ili kufanya liwe laini na kupunguza maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa.
    Kuna aina mbalimbali za dawa za mafuta ambazo zinapatikana kwa matumizi ya moja kwa moja kwenye eneo la bawasiri.

Namna zingine zinazoweza kufaa ni Pamoja na:

  1. Kuepuka kukaa muda mrefu chooni ili kupunguza shinikizo katika eneo la Haja kubwa.
  2. Kutumia dawa za kupunguza maumivu au kuvimba kama vile acetaminophen au ibuprofen.
  3. Kutumia mafuta ya baridi au mifuko ya barafu kwenye eneo lililoathiriwa ili kupunguza maumivu na uvimbe.

3.dawa ya bawasiri Itakayomaliza Tatizo lako, ni Hii Hapa.

Kama una tatizo la bawasiri ambalo tayari linakusababishia maumivu, uvimbe na usumbufu wakati wa kujisaidia haja kubwa. nikwambie tu usijali, tuna habari njema sana kwako!
Ile Dawa Yetu Bora ya bawasiri inayoitwa Cleanser imerudi tena, ambayo ni suluhisho bora na salama kwa matatizo ya bawasiri.

Soma pia: Aina 9 za Mafuta Muhimu kwa ajili ya Mtoto: na Faida zake

Cleanser ni dawa ya mafuta iliyoundwa kwa ajili ya kutibu na kumaliza kabisa dalili za bawasiri. Viambata vyake vya asili vinavyolainisha njia ya haja kubwa, Husaidia kumaliza maumivu kwa haraka, kuondoa uvimbe wa kinyama na huondoa kuwashwa kwenye eneo lililoathiriwa.
Cleanser husaidia kufanya kuta za njia ya haja kubwa kuwa laini na hivyo kupunguza maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Dawa ya mafuta ya Cleanser ni rahisi kutumia, salama na inakufikia popote nchini Tanzania. Ni rahisi kuitumia, na inakupatia matokeo ya haraka zaidi, tumia Cleanser kwa kufuata maelekezo ya Dakitari wetu utaona mabadiliko ndani ya siku 1.

4.dawa za hospital za bawasiri Ni zipi?

Kuna dawa kadha wa kadha za hospitali ambazo hutumika kwa ajili tatizo la bwasiri, baadhi ya dawa zinapatikana hospitali, baadhi ya dawa zinapatikana kwenye maduka ya madawa.
Dawa hizo zipo katika mgawanyiko wa makundi 4.
1. Dawa Za kulainisha choo (stool softeners) Hizi kusaidia mtu kupata choo kwa urahisi bila kusukuma sana na pia, kumuondolea ugumu wa choo (constipation).
Hapa kuna dawa kama vile:Docusate sodium n.k

Soma Pia: Ili kupona vidonda vya tumbo-Suluhisho bora ni hili Hapa.

  1. Dawa za Ganzi (Topical anesthetics).
    Dawa hizi pia hutumika kama sehemu muhimu ya kuondoa maumivu makali kwa watu wenye bawasiri iliyo kwenye hali mbaya.
    Dawa kama Lidocaine ointment 5% n.k.
  2. Dawa za kuondoa micharazo (Mild astringent)
    Dawa hizi hutumika kwa lengo la kupunguza miwasho.
    Dawa kama Hamamelis water (ambayo inatokana na Witch Hazel).
  3. Dawa Kuondoa maumivu ( Analgesics)
    Hutumika kwa mtu mwenye bawasiri kwa lengo la kuondoa maumivu na usumbufu wa hapa na pale.
    Kuondoa maumivu ni sehemu muhimu kwa mgonjwa wa bawasiri. humfanya mgonjwa ajihisi ahueni kwa muda, na kumfanya asiendelee kupata usumbufu zaidi.
    miongoni mwa hizo ni Acetaminophen n.k

5.dawa ya bawasiri ya kupaka ipoje?

zipo dawa mbalimbali ambazo zipo kwenye mfumo wa cream, Gel au ointments. Miongoni mwa dawa hizo ni kama vile:
1. Anusol Cream ยท Hii ni moja ya dawa ambayo hutumika kupunguza makali ya bawasiri, kwa njia ya kupaka katika eneo lililoathirika.
Hutumika kuondoa maumivu ya wastani,miwasho, kuvimba, na micharazo kwenye njia ya haja kubwa.

Soma Pia: Tatizo la Kukosa hedhi | sababu & Tiba yake

2.Hydrocortisone: Ni dawa ambayo huweza kupunguza wekundu, miwasho, na uvimbe. Dawa hii hutumika pale ambazo maumivu ni makali, na hayawezi kutulia kwa dawa zingine za hospitali, kwa sababu hutumika kama ant-inflammatory.

  1. Hemorrhoids ointments: Hizi ni dawa zilizotengenezwa kwa kufyonzwa viambata katika mimea, zipo ointment za aina mbalimbali kwa ajili ya bawasiri.
    Hutumika pale ambapo miwasho ni mikali zaidi, kwa sababu formula nyingi zimetengenezwa katika namna ambayo ni rahisi kukata maumivu kwa hataka.

Jipatia tiba ya uhakika ya bawasiri! Tumejikita katika kutoa matibabu bora na ya haraka kwa ajili ya bawasiri. Timu yetu ya wataalamu imejizatiti kuhakikisha unapata tiba sahihi na yenye ufanisi. hakuna haja ya kusumbuka tena, wasiliana nasi sasa kwa simu Ili kuapata huduma bora na ya uhakika zaidi: +255 745 889 503. Tupo kukusaidia kupona kabisa na kurudi katika Ubora wa afya yako. Ahsante.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *