Jinsi alivyopona kabisa uvimbe kwenye kizazi.

*Jinsi Mariam Alivyopona Uvimbe Kwenye Kizazi Bila Upasuaji Mdani ya Miezi 3*
________________

Tatizo la uvimbe kwenye kizazi ni Moja ya matatizo ya kiafya yanayoshika kazi zaidi siku hizi kwa wanawake wengi.
Tafiti zinaonyesha 5% ya wanawake wote Wanaweza kuwa na Tatizo hili katika umri fulani katika maisha yao *(wanawake 5 kati ya 100)*

Mariam Rashid Kutoka zanzibar [Miaka 32] Amekuwa na tatizo hili kwa miezi 8 toka abainike. Alipimwa na kukutwa na uvimbe wa *Cm 9.2 kwa cm 5.6* Huo ni uvimbe mkubwa sana katika vipimo vya hizi vimbe.

Uvimbe ulimfanya kuwa na wakati Mgumu zaidi. Anapatwa maumivu makali zaidi wakati wa hedhi. anatokwa damu nyingi sana yenye mabongemabonge. ameishiwa damu mara 2. Hakuweza kushika mimba Rucha yakuwa kwenye ndoa kwa miaka 4.

Wakati wa hedhi alikuwa hawezi kufanyq kitu chochote zaidi ya kushinda kitandani. Hedhi yake kuna wakati inakaa hata miezi 2 bila kutoka ila ikirudi inatokea mfululizo mwezi mzima, na maumivu juu.

Madakitari walimtia moyo kuwa akifanyiwa upasuaji kuondoa Uvimbe Hali yake itakuwa sawa. Lakini Hakupenda kabisa njia ya Upasuaji.

Mariam Alipata Taarifa zetu kutokea katika Website Yetu Mojawapo www.afyamaridhawa.com Akanipigia simu Nikamwelekeza Jinsi anavyoweza kupona bila upasuaji. Na akaahidi kuanza matibabu mara moja mwisho wa mwezi June, maana hakupenda kabisa kitu kinaitwa upasuaji kwenye mwili wake.

Hatimae alianza matibabu kama Tulivyokubaliana. Baada ya wiki 1 Damu zikaacha kutoka na maumivu yakatoweka.
Baada ya wiki mbili alikuwa akiendeleq na kazi zake bila usumbufu wowote.

Hedhi iliyofuata ilikuwa ya kawaida sana, hakuna maumivu kabisa, damu ya wastani. Akaenda siku 5. basi Jambo likawa vema.

Ilipoisha miezi miwili akaenda kucheck ultrasound Uvimbe ukawa umebali cm 3.3 kwa 1.8
Kutoka *Cm 9.2 kwa cm 5.6*

Aliponijulisha nikamtia moyo Tumalizie Sehemu kidogo iliyobakia.
Mungu si Athuman September 28 Alicheck Ultrasound. Matokeo yakilikwa mazuri sana.
Hana tena uvimbe.
Kuta za kizazi zipo sawa kabisa (Intact).

Kilichonifurahisha zaidi Juzi October 16 Kanipatia Good News Ame-conceive, ana mimba changa ya wiki 5.
Amepata zaidi ya Matarajio aisee. Mambo mawili kwa wakati mmoja.

Package ya uzazi inayofahamika kama *Utero Min* Package yake ya Miezi 3 Huwa ni 360,000/=

Miezi 2 =240,000/=
Mwezi 1=120,000/=

Kuanza matibabu yako Wasiliana nami kwa namba 0745 889 503.
DR LUTAMBI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *